Listi ya Wanamuziki 25 Walioingiza Pesa Zaidi Duniani kwa Mwaka 2013


Wanawake hawa hakika wanatengeneza mkwanja mnene, kwenye listi hii ya jarida la Forbes inaonyesha kwamba kwa mwaka huu 2013 wanamuziki Madonna na Lady Gaga ndio ambao wameongoza kwa kuingiza pesa nyingi zaidi.

Hii hapa ni listi ya wanamuziki 25 walioingiza mkwanja zaidi kwa mwaka 2013:

1. Madonna - $125 million

2. Lady Gaga -  $80 million

3. Bon Jovi - $79 million

4. Toby Keith - $65 million

5. Coldplay - $64 million.

6.  Justin Bieber - $58 million

7. Taylor Swift - $55 million

8. Elton John - $54 million

9. Kenny Chesney - $53 million

9. Beyonce - $53 million (tie)

11. Sean "Diddy" Combs - $50 million

12. Sir Paul McCartney - $47 million

13. Calvin Harris - $46 million

14. Jennifer Lopez - $45 million

15. Roger Waters - $44 million

16. Muse - $43 million (tie)

16. Rihanna - $43 million (tie)

18. Jay Z - $42 million

18. One Direction - $42 million (tie)

20. Dr. Dre - $40 million

20. Red Hot Chili Peppers ($40 million, tie)

22. Rolling Stones - $39 million (tie)

22. Katy Perry - $39 million (tie)

24. Tim McGraw - $33 million (tie)

25. Pink - $32 million (tie)

25. Tiƫsto - $32 million (tie)

No comments:

Post a Comment