Prezoo Sasa Anatoka na Tillya Demu wa Kibongo [PICHA]
Prezzo sasa ana demu mpya na ni Mbongo ambaye kwa siku za hivi karibuni kwa mara kadhaa amekuwa akiweka picha alizopiga naye kwenye ukurasa wake wa Instagram.Jina lake anaitwa Tillya, ni Mtanzania mfanyabiashara anayemiliki blog ambaye pia kwa siku za hivi karibuni amekuwa akielezwa kuwa yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na msanii wa kundi la Bracket toka Nigeria aitwaye Vast.Vyanzo vya karibu vimesema kuwa Tillya na Prezzo wamekuwa kwenye mahusiano kwa zaidi ya miezi miwili sasa.Cheki picha zao hapo chini...
No comments:
Post a Comment