Wapenzi Wakamatwa kwa Kufanya Ngono Live Kwenye Ndege (PICHA)


Wapenzi wawili wamekamatwa kutokana na kitendo cha kufanya ngono ndani ya ndege.

Kwenye shitaka lao, wawili hao walipatikana na hatia hivyo kila mmoja alitozwa faini ya $250 kutokana na kitendo hicho kilichotokea wakati ndege hiyo ilipokuwa inatoka Medford, Ore., kwenda Las Vegas.

Wapenzi hao walitozwa faini hiyo mnamo June 21, huku ikielezwa, abiria walishuhudia mwanaume aitwaye Christopher Martin, akijiachia kwa raha zake kwa kufanya mapenzi na mwenza wake aitwaye Jessica Stroble, licha ya onyo lililotolewa na wafanyakazi wa ndege hiyo wenza hao waliendelea kufanya yao.

Baadaye Martin aliomba msamaha kwa wale walioumizwa au kukwazwa kutokana na kitendo hicho.

No comments:

Post a Comment