Hivi Ndivyo Kanye West Alivyosema Baada ya Kim Kuweka Picha Hii Kwenye Mtandao (PICHA)

Kim Kardashian
Kim Kardashian aliamua kuishirikisha picha yake ya kwanza ambayo inamuonyesha akiwa akiwa amevalia bikini asubuhi ya leo. Baba wa mtoto wake Kanye mara baada ya kuiona picha hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter hivi ndivyo alivyoaandika…

Aliandika ‘Naelekea nyumbani sasa’ |#konjithinz....Lol.

Naamini atakuwa alihamasika na picha hii na sababu mali ni zake ngoja ajiwahie....

No comments:

Post a Comment