Ni Sahihi Kuruhusu Wanawake Wajawazito Kushiriki Kwneye Michezo ya Ushindani...?

Rebekkah Brunson na Mimba ya Miezi Nane
Timu ya wanawake ya mpira wa kikapu ya nchini Marekani Minnesota Lynx mnamo usiku wa Alhamisi ilifanikiwa kutwaa taji lao la pili la WNBA championship ndani ya miaka mitatu, ubingwa uliotokana na jitihada kubwa kutoka kwa mwanadada mwenye miaka 31, aitwaye Rebekkah Brunson ambaye alikuwa akicheza fainali hiyo huku akiwa na mimba ya miezi nane.

S

No comments:

Post a Comment