PICHA: Rihanna Amkumbatia Podolski wa Arsenal - Nini Kinaendelea Hapa..?
|
Rihanna na Podolski |
Mwanamuziki nyota wa Kimarekani Rihanna amekutwa akiwa amemkumbatia mchezaji wa timu ya Arsenal, Lukas Podolski mara baada ya kumaliza kufanya tamasha nchini Ujerumani. Je ndio kusema Rihanna ni demu mpya wa Podolski.....?
No comments:
Post a Comment