Nick Minaj na Thong ya Pink Kwenye Ukurasa Wake wa Twitter

Nick Minaj na Lil Wayne
 Nicki Minaj ni mmoja kati ya wanamuziki wanaofahamu namna ya kuwarubuni mashabiki wake kwa kuwafanya wawe na furaha pale wamuonapo.
 

Rapa wa kike mwenye umri wa miaka 30 kupitia ukurasa wake wa twitter ameposti picha inayoonyesha mkanda wa juu wa bikini yake ya rangi ya pinki huku akiita siku ya hiyo kama #ThóngThursdays.

Icheki hapo chini....
Thong Thurdsday

Nick Minaj Kwenye Pozi
Hivi ana anashepu au kashepu...

No comments:

Post a Comment