Nando na Selly |
Nando amekasirishwa na hali hiyo na amekuwa wazi kuzungumzia suala hilo kwa washiriki wenzake waliopo ndani ya jumba hilo:
“Unajua simpendi yule ma**ya! Nimekwazwa na na kuchanganyikiwa sababu yule ma**ya (Selly) ameniambukiza gonjwa la zinaa.
Ndiyo sababu jana msukumo wa damu yangu ulikuwa juu,” alimwambia Bimp, muwakilishi toka Ethiopia.
Kwa mujibu wa Nando, yeye alikuwa anahitaji kutumia condom kabla ya kufanya mapenzi na Selly, ila muwakilishi huyo toka Ghana aliseama anataka kufanya bila kinga, bila kujua athari za maambukizi ambayo yalijitokeza.
Taarifa zinasema wanaomtibu Nando kuweza kupona ugonjwa huo wanaitwa Chlamydiae.
Licha ya hivyo hakuna ushahidi wa kitiba unaoonyesha moja kwa moja kwamba Nando aliambukizwa ugonjwa huo wa zinaa na Selly.
No comments:
Post a Comment