Mtoto wa Familia ya Kifalme Apewa Jina na Ataitwa Prince George wa Cambridge (PICHA)

Prince George wa Cambridge
Mtoto toka kwenye familia ya Kifalme hatimaye amepewa jina, na atakuwa akiitwa Prince George wa Cambridge.

Fanya kucheki picha hizi toka familia hiyo… Binafsi nimevutiwa na idadi ya kamera kwa jinsi zinavyosaka kupata picha ya prince mpya.













No comments:

Post a Comment