Kutana na Ufukwe Ambao Kila Mtu Huwa Mtupu Bila Nguo (PICHA)

Watupu Wakiogelea
Zaidi ya watu 700 walikusanyika wakiwa watupu kwenye ufukwe na kuweza kuweka rekodi mpya ya Dunia kama idadi kubwa ya watu kukusanyika sehemu moja kwa wakati mmoja wakiwa hawajavaa kitu chochote mwilini.

Tamasha hilo lilihusisha vijana kwa watu wazima wakiwa hawana nguo kwenye fukwe ya Vera iliyopo nchini Hispania mnamo siku ya Jumapili na kuweza kuvunja rekodi ya watu 506 iliyowekwa New Zealand mwaka jana kwenye tukio kama hilo. 


V for victory ... walisikika wakishangilia watu hao kutokana na kuweka rekodi hiyo mpya.

No comments:

Post a Comment