Mtoto Kwenye Familia ya Kifalme Azaliwa, Kate na William Wapata Mtoto wa Kiume

William na Kate
Kate Middleton amejifungua mfalme wa baadae wa Uingereza kwenye hospitali ya St Mary's iliyopo Paddington majira ya saa 10:24 jana jioni, ikiwa ni siku ya Jumatatu ya July 22 akiwa pamoja na mumewe, Prince William pembeni yake.

Kate na mtoto wake wa wapo salama na waliendelea kuwepo hospitali hapo kwa usiku wote wa janat

Hongera kwao!

No comments:

Post a Comment