Je Chris Brown Amemtema Demu Wake Karrueche Tran? Asema Yupo Singo

Chris Brown na Karrueche
Je ni kwamba Chris Brown ameachana rasmi na demu wake wa nenda rudi, Karrueche Tran?
 
Alirudiana naye mara tu alipoachana na Rihanna mnamo mwezi May ila inaonekana kwamba huduma yake kwa sasa imeisha na haitajiki tena...
 
Chris Brown ameieleza Hollywood Life,

"Mashabiki wamekuwa wakiniona nikiwa kwenye mahusiano nenda rudi na wasichana tofauti, je unawafahamu kweli, ila kwa sasa, ukichukulia mimi ni mwanaume mwenye miaka 24, nimeamua kuwa singo!"

''Bado nipo na urafiki mzuri nao. Sasa ni mimi kujikita zaidi na masuala yangu ya kimuziki na kufanya hayo. Kwa sasa, nipo juu.''


"ukichukulia mimi ni
mwanaume mwenye miaka 24,
nimeamua kuwa singo"
 
Chris Brown
Mwanamuziki

No comments:

Post a Comment