Bikira Maria Mama wa Yesu Aonekana Kanisani (PICHA)

Waumini Wakiangalia
Picha juu ni ya Kanisa la Kikatoliki la Saint Benedict, lililopo Ubiaja, Esan Kusini Mashariki ya Jimbo la Edo nchini Nigeria.

Waumini wa Kanisa hilo wanasema kwamba waliiona kitu kinachofanana na Bikira Maria kwenye ukuta wa Kanisa hilo mnamo siku ya Jumapili July 21.

Waumini hao walifanikiwa kuchukua picha....

Je unaiona? Je inahitaji maelezo ya ziada juu ya hili?

Angalia na picha hapo chini...?

Pembeni ya Dirisha (Kulia)

No comments:

Post a Comment