Mkanda Mzima Kwenye Fumanizi la Vunja Jungu (PICHA)
Hakika kila siku huwa ni za mwizi ila ya arobaini itabaki kuwa ya mwenye mali, kwa mujibu wa chanzo kinasema, mwanamke huyu kwenye picha amefumaniwa akiwa anafanya mapenzi na mume wa rafiki yake kipenzi gafla mke aliporudi nyumbani bila taarifa.Hebu chekishia vibao, kibaya zaidi ni kwamba wanawake hawa walikuwa ni marafiki toka wapo chuo kwenye kozi moja.Mara baada ya tukio hili mke haraka aliwaita rafiki zake wengine na rafiki aliyekutwa na mume wa rafiki alipata kipondo cha maisha yake ambacho hatoweza kuja kukisahau. Angalia picha zaidi hapo chini, mpaka alipofikia hatua ya kupiga magoti na kuomba msamaha.
No comments:
Post a Comment