Rihanna Anaposhindwa Kuacha Zishika Sehemu Nyeti Anapokuwa Kwa Steji (PICHA)
Anafahamika kama mmoja kati ya watu wanaoleta mitindo na vitu vipya kwenye jukwaaa kwa kila show anayoifanya, safari hii Rihanna aliwafurahisha mashabiki na moja kati ya mitindo yake mipya kwenye ziara ya Diamond.Huyu hapa huku akiwa amevaa shati kubwa na iliyomzidi ya baseball na mchuchumio wa haja huku mkono wake ukiwa umeshika sehemu zake nyeti.Je hii ni nini hasa ndio mitindo mipya ama...?Angalia picha zaidi hapo chini:
No comments:
Post a Comment