Andy Murray Atwaa Taji la Wimbledon 2013

Andy Murray
Andy Murray amefanikiwa kushinda taji la kwanza la michuano ya Wimbledon na kumfanya awe Muingereza wa kwanza kushinda taji hilo toka mwaka 1936.

Amefanikiwa kutwaa taji hilo mara baada ya kumshinda Novak Djokovic kwa seti  6-4 7-5 6-4 mnamo siku ya Jumapili.

Hongera kwake...

No comments:

Post a Comment