Messi na Fabregas Wakiwa na Watoto na Familia Zao Kwenye Boti


Wachezaji wa timu ya Barcelona, Lionel Messi na Cesc Fàbregas waliamua kutumia muda wao wa mwisho wa mapumziko kwa kuwa pamoja na watoto wao wadogo kama mababa mnamo siku ya Jumatatu maeneo ya Ibiza.

Wachezaji hao ambao pia ni marafiki walitumia muda wao wakiwa kwenye boti na familia zao pia, huku wakionekana kutumia muda wao mwingi kupumzika kuelekea kurudi kibaruani.

 










No comments:

Post a Comment