Amber Rose na Wiz Khalifa Rasmi Wafunga Ndoa
|
Wiz K & Amber |
Mwanamitindo mrembo na mwenye mvuto wa kipekee, Amber Rose, 29 na baba wa mtoto wake, Wiz Khalifa, 25, ambaye pia ni rapa mkali wa ngoma ya Black and Yellow wamefunga pingu za misha.
Kwa sasa wawili haoa wana mtoto wa kiume aitwaye Sebastian 'The Bash' Taylor Thomaz.
Angalia picha na tweets zao hapo chini.... Ndoa nyingine hiyo bwana 25 bibi 29, ila sio ishu...
No comments:
Post a Comment