Mcheki Jose Mourinho na Mke Wake (PICHA)


Jose Mourinho na mke wake aitwaye Tami (kulia) walikutwa wakiwa wanatoka kwenye mgahawa wa C uliopo Mayfair, katikati ya jiji la London.


Mourinho alionekana yuko poa akiwa hana wasi katika kuelekea kwenye msimu mpya wa ligi huku akitembea katikati ya jiji la London akiwa amevaa t-hsheti ya bluu aina ya polo, suruali simpo na raba.

Wawili hao walipata chakula cha usiku kwenye mgahawa huo wakiitalia.

Lolote la kusema....!

No comments:

Post a Comment