Mcheki Demu wa Cristiano Ronaldo Akiwa na Bikini Ufukweni

Irina
 Demu wa Cristiano Ronaldo aitwaye Irina akiwa kwenye ufukwe wa Florida, ambapo timu ya Madrid imeeenda kwa ajili ya mechi za ufunguzi wa msimu mpya.

Mmoja kati ya watu waliotengeneza na kuandika habari kutokana na umbile lake na bikini aliyokuwa ameivaa alipokuwa ufukweni hapo.

Cheki picha chini ya mrembo huyo....

Irina

No comments:

Post a Comment