Kutana na Mwanamke Ambaye Lamar Odom Anahusishwa Naye Kumsaliti Khloe Kardashian (PICHA)

Jennifer Richardson
Mwanamke ambaye amekuwa akihusishwa kuwa kimapenzi na mchezaji wa mpira wa kikapu toka Marekani Lamar Odom ameanikwa kwa mara ya kwanza toka skendo hiyo ilipovuja.

Jennifer Richardson, ambaye amekuwa akihusishwa kuwa na urafiki wa karibu na mume wa Khloe Kardashian toka mwezi January 2012, alipigwa picha akiwa nje ya club ya Eden ndani ya Hollywood.

Ni mwanamke wa miaka 29 na wengi wanahoji kama yeye ni mkali kuliko Khloe..


Wewe Unaonaje...?

No comments:

Post a Comment