Huyu Ndiye YAHAYA Aliyeimbwa na Lady Jay Dee (PICHA)

Dude
Kulwa Kikumbi muigizaji maarufu wa muvi za bongo akijulikana zaidi kama Dude ndiye atakayevaa uhusika wa bwana Yahaya kwenye video ya ngoma hiyo ambayo kwa sasa inatamba mbaya.

Kampuni ya Ogopa ndiyo inasimamia zoezi zima la ufanikishwaji wa video hii huku ikielezwa zoezi zima litakamilika ndani ya muda mfupi toka sasa.

Kaa tayari kwa video hii ambayo hapo chini nimejaribu kukuwekea baadhi ya picha zilizopigwa kwenye mchakato wa zoezi hilo.










No comments:

Post a Comment