Cheki Picha Higuain Akifanya Mazoezi na Arsenal (PICHA)

Gonzalo Higuan

Mawazo juu ya Gonzalo Higuain kujiunga na timu ya Arsenal kimekuwa ni kitu ambacho kinachosumbua sana mashabiki wengi wa soka hasa wa timu ya Arsenal.

Wengi wamekuwa wakijaribu kujenga picha kwa jinsi mchezaji huyo atakavyokuwa kwenye rangi za timu hiyo ya washika bunduki.

Hii ni moja kati ya picha iliyobambwa akiwa mazoezini London Colney kwenye jezi mpya za mazoezi ya timu hiyo.

Kama inapendeza hivi....!

No comments:

Post a Comment