Usikate Tamaa (NUKUU)


"Nilibakwa nikiwa na Umri wa Miaka 9" - Oprah Winfrey

 "Sikumaliza hata Elimu yangu ya Chuo" - Bill Gates

 "Kwenye Maisha ya Utotoni, Nilidhurumu Viatu" – Abraham  Lincoln

 "Nilipata sana shida katika kipindi chote nilichokuwa Shule" - Dr Ben Carson

 "Nilikuwa nauza Chai Dukani ili niweze kupata Hela kwa ajili kufanikisha Mazoezi" - Lionel Messi

 "Nililala Sakafuni kwenye Vyumba vya Marafiki , nikiwa nakusanya Chupa za Coke kwa ajili ya Hela ya Chakula, na pia kupata Chakula cha Bure cha Wiki kinalichotolewa na  Wahisani" - Steve Jobs

 "Mwalimu wangu alikuwa akiniita Anayefeli" – Tony  Blair

KUMBUKA:

Maisha sio kile ambacho hujakifanya mpaka sasa, ila ni juu ya kile ambacho bado una muda na uwezo wa kukifanya, hivyo…..
USIKATE TAMAA…!


Kati ya yote na Kinachojalisha Zaidi,
Sio hatua ya kwanza ila hatua ya Mwisho,
Ambayo hutuonyesha ni kwa jinsi gani tumekimbizana na Maisha….!



Kama Umeguswa na Ujumbe huu na Maanisha kwa ku-Comment “SITOKATA TAMAA”

No comments:

Post a Comment