Alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada yangu walipokuwa chuo pamoja miaka ya nyuma, kwa sasa mimi na huyu jamaa tunafanya Masters kwenye chuo kimoja na tupo kwenye dimbwi la mapenzi.
Dada yangu kwa sasa ameolewa, ila moyoni kama sina amani kutokana na ukweli kwamba jamaa alishawahi kutoka na dada yangu na sasa anataka kutoka na mimi pia.
Nifanye?
Lara.
No comments:
Post a Comment