Serena Williams Kutokea Kwenye Kava ya Jarida la Essence

Serena Akiwa na Bikini
Serena Williams ndiye ambaye ataonekana kwenye kava la mwezi July la jarida la Essence, huku akiwa anazungumzia juu ya maisha kuelekea utu uzima na kuganda kwa damu ambapo kulitaka kumsababisha kuacha kucheza mchezo wa tenisi.

"Naweza kidogo kuwa muoga. Kabla nilikuwa, ‘Serena ana makalio makubwat,’ na hivyo ndivyo ilivyo. Sasa kuna njia ambazo watu hujihisi wako na uhuru zaidi na kisha husema, ‘Mimi ni mwanamke, na hivi ndivyo ninavyoonekana.’ Mara zote mimi huwa nasema, ‘Sisi ni watu tunaojulikana sasa! Hatimaye tupo kwenye mitindo!", mchezaji huyo wa tenisi alilieleza jarida la Essence.

Kava la Essence Magazine Mwezi Julai

No comments:

Post a Comment