Rais Mugabe na Walinzi Wake Wakiwa Wamelala Kwenye Kikao cha AU
Hebu fikiri kiongozi wa ngazi ya juu kutoka Afrika, akiwa anaonekana kabisa kwamba hayupo fiti kiasi cha kutosha kuweza kukaa sambamba na viongozi wenzake kwenye mkutano wa AU.HHivi inakuwaje hata watu wake wa usalama pia nao wanaonekana kwamba hawako sawa kwa majukumu waote wakiwa wamelala...?Angalia picha chini...Kwa nini using'atuke kama walivyofanya akina Nyerere na Mandela...?
No comments:
Post a Comment