Rafael Nadal Aweka Historia kwa Kushinda Taji la 8 la French Open

Rafael Nadal
Rafael Nadal amefanikiwa kushinda michuano ya tenisi ya French Open kwa rekodi ya nane mnamo siku ya Jumapili mara baada ya kumshinda mspanishi mwenzake David Ferrer kwa seti 6-3, 6-2, 6-3 kwenye fainali.
 

Ilikuwa ni mara ya kwanza kwenye historia ya mchezo wa tenisi kwa mtu kuweza kushinda taji la aina moja la Grand Slam mara nane.

No comments:

Post a Comment