Muimbaji wa Zamani wa Kundi la Spice Girl, Mel B Akisherehekea Siku ya Kuzaliwa Kwake
Mwimbaji wa zamani wa kundi la Spice girl, Mel B alisherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka 38 kwenye ufukwe wa Malibu akiwa na mume wake, Stephen Belafonte.Mwanamuziki huyo wa zamani alionekana akiwa amevaa bikini nyekundu.
No comments:
Post a Comment