Kim Kardashia Aliliwa Uroda na Nyota 22 (LISTI)
Hapo chini nimeweka orodha ya mastaa ambao mkali wa vipindi halisia Kim Kardashian wameshawahi kula naye uroda.
Orodha hii ni kwa mujibu wa mitandao na majarida mbalimbali huku kila moja ikimuandika muhusika na kipindi ambacho alitembea naye kama ifuatavyo, MediaTakeOut. TJ Jackson (1994-1998) Damon Thomas (m. 2000–2004) Julian St. Jox (2001) (katika kipindi alipokuwa kwenye ndoa na Damon) Ray J (2002- mkanda wa ngono uliorekodiwa mwaka 2003 (katika kipindi alipokuwa kwenye ndoa na Damon)-2007) Nick Lachey 2006 Nick Cannon (Sept 2006-Jan 2007)(alipokuwa kwenye mahusiano na Ray J) FONSWORTH BENTLEY (2006-Feb 2007) Marquis Houston (March 2007) Evan Ross (May 2007) Reggie Bush (2006 (alipokuwa kwenye mahusiano na Ray J)-2009/2010) Christiano Ronaldo (April 2010) Shengo Deane (April 2010) Miles Austin (June 2010) Michael Copon (October 2010) Jon Mayer (October 2010) Gabriel Aubrey (November 2010) Kris Humphries (m. 2010–2013) Kanye West (2007– mpaka sasa) pia Brett Lockett, The Game, 50 cent, Scott Storch na wengine kadhaa pasipo kutajwa tarehe rasmi inamfanya nyota huyo kuonekana kuwa mpaka sasa ametembea na mastaa 22 kwa mujibu wao.
Je unaamini hili.....?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment