Rihanna Aeleza Sababu ya Kutemwa na Chris Brown

Rihanna na Chris Brown
Baadhi ya vyanzo na tweets za Rihanna zinaonyesha kwamba kuna sababu moja na kubwa ya msingi ambayo ilipelekea yeye na aliyekuwa mpenzi wake Chris Brown kuachana.
 
Kwa mujibu wa tweets za mwimbaji huyo wa ngoma ya Diamond inaonekana sababu kuu ya kutengana ni kutokana na Chris Brown kuona kwamba Rihanna hakuwa muaminifu kwake na huku yeye akiwa anahitaji mtu ambaye atakuwa yupo makini zaidi kwenye mahusiano.

No comments:

Post a Comment