Oprah Winfrey Amwaga Chozi Alipopata Shahada ya Udaktari
Mmoja kati ya Wanawake wenye ushawishi mkubwa Duniani, Oprah Winfrey, mapema hapo jana aliangukwa na chozi mara baada ya kupata shahada ya Udaktari toka chuo cha Harvard kwenye mahafali ya 362 ya chuo hicho.
Mahafali hayo yaliigubikwa na furaha ya machozi toka nyota huyo mwenye umri wa miaka 59 mara baada ya kupata shahada yake.
Oprah anayemiliki mtandao wa Televisheni anaokadiliwa kuwa na utajiri wenye thamani ya dola billioni 2.7
No comments:
Post a Comment