Shela Lililotengezwa Kwa Kutumia Keki (PICHA)

Hebu cheki utaalamu huu wa kutengeneza keki ambayo pia ni nguo ya kuvaa kwenye harusi.

Ni aina moja ya kipekee, ni shela ambalo chini kwenye sketi linakuwa limetenezwa kwa ngano, sukari na cream.
 

Shela hilo la keki limevumbuliwa na jamaa aitwaye Lukka Sigurdardottirn a kuonyeshwa kwenye blog ya Gather na Nest, ilimuonyesha mwanamke  mmoja akiwa amevaa vazi hilo.

Fanya kuicheki ksha nambie unaionaje....

No comments:

Post a Comment