Mama Amchanja Na Wembe Mtoto Wake Wa Miaka 9 Kwa Kupoteza N100
Mama mmoja mwenye roho ya kikatili, amemkata na wembe mwanae mwenye umri wa miaka tisa nchini Nigeria.Huku sababu zikielezwa kuwa ni mtoto huyo kupoteza Naira 100 (Sawa na shilingi 1200 za kitanzania)Mama huyo aliyefahamika kwa jina la Kudirat, alimkata viwembe mtoto huyo ajulikanae kwa jina la Precious mgongoni, kwenye mguu wa kushoto na mkono wa kulia kwa kile alichokisema ni kumfunza adabu.
No comments:
Post a Comment