Mashabiki Vichaa Wa Nick Minaj Wajianika Kujishindia Mkwanja (PICHA)

Nicki Minaj na mashabiki wake kwa sasa wanacheza mchezo mmoja wa ukichaa, mchezo ambao wameuita "show me what you got" (nionyeshe ulichonacho) kupitia mtandao wa twitter.

Ambapo kwenye mchezo huu, kila mmoja anajaribu kutuma picha yake ya ukichaa huku akiwa ameshikiria alama inayoonyesha jina la Nick Minaj,na atakayekuwa amevutia zaidi hujishindia hela, maelfu ya dolla..!
 




Unaonaje nawe ushiriki kwenye hili ili upate mkwanja...!

No comments:

Post a Comment