1. Chris Kelly:
Kris Kelly a.k.a Mac Daddy |
2. Nate Dogg:
Nate Dogg |
Rappa huyo alipata stroke mnamo mwezi December 19 2007 ambayo ilimfanya aparalaizi sehemu ya kushoto ya mwili wake.
Alipata stroke ya pili mnamo mwezi September 2008 na kufa kwa mkanganyiko wa stroke mwezi March 2011.
3. Eazy E:
Easy E |
4. Big Pun:
Big Pun |
Kisha akaanza kufanya kazi kama solo artist na kutoka na kitu cha I'm Not A Player, ngoma ambayo ilikuwa ni kubwa sana ndani ya mwaka 1997 na kumfanya kuwa msanii wa kwanza miondoko ya hip hop kutoka Latino kufika kwenye mauzo ya platinum.
Mafanikio zaidi ya nyota huyo yalishaanza huonekana, ila alikuja kufa gafla baada ya kupata mshtuko wa moyo mnamo mwezi February 2000, alifariki akiwa na umri wa miaka 29 tu.
5. Left Eye:
Left Eye |
Wasichana hao walikuwa na na ngoma kadhaa zilizotamba kama No Scrubs, Waterfalls na Creep, zilizouza zaidi ya rekodi millioni 65.
Ndoto za maisha yake ya baadae zilikatika gafla mara baada kupata ajali ya gari baada ya kushindwa kulimiliki gari vizuri, kipindi ambacho alikuwa anakula sikukuu ndani ya Honduras mnamo mwezi April 2002.
7. Ol' Dirty Bastard:
Ol' Dirty Bastard |
8. Guru:
Akijulikana zaidi kwenye steji kwa jina la Guru, huku jina alilopewa na wazazi wake ni Keith Edward Elam, alikuwa ni mmoja kati ya ma-mc wa kimarekani na memba wa kundi la Gang Starr lililoundwa na wana hip hop wawili.9. Notorious B.I.G:
Akiwa na umri wa miaka 24 jamaa alifariki, Biggie ambaye jina lake halisi ni Christopher George Latore Wallace - alipigwa risasi alipokuwa anaendesha gari kurudi nyumbani kwake Los Angles akiwa anatoka kwenye party mwezi March 1997.10. MC Proof:
Mc Proof |
11. Tupac
Tupac |
Hakuna aliyekuja kukamatwa baada ya tukio hilo, ila mchunguzi mmoja wa masuala ya habari aitwaye Chuck Philips, aliamua kuendelea mbele zaidi kwenye kesi hii, na kuja na ushahidi uliomuonyesha kwamba memba mmoja wa kundi la LA Southside Crips, ndiye aliyehusika kumpiga risasi Pac, na hii ni ilitokana na mambo ya kulipiziana visasi.
No comments:
Post a Comment