Mtoko Wa Kiwendawazimu

Hebu fanya kumcheki huyu mwehu akiwa hana haya, hata kama ni mtoko wa usiku ndio iwe hivi, ni uvaaji gani huu tena?

Ila hakika kuna haja ya kumpima akili zake, anaweza kuwa hayuko sawa....

No comments:

Post a Comment