PICHA: Kutana Na Mwanamke Mwenye Umri Wa Miaka 55 Anayeonekana Kama Ana Miaka 29

Shellie Bo Talley ana umri wa miaka 55, ila muonekano wake na uvaaji wake ni kama msichana kwenye miaka yake ya 20.
Kitu pekee kinachoweza kukufanya umfahamu kama ni mtu mzima sana ni nywele zake za rangi nyeupe.
Shellie ni mama na bibi, mtangazaji na mkurugenzi wa Blaq Pearl Entertainment. Anasema hajawahi kufanyiwa upasuaji wowote.
 
 

 

No comments:

Post a Comment