Jipime Na Picha Hii Kwa Kunieleza Kilichokuja Mawazoni Mwako Mara Ya Kwanza


Ukingalia kwa juu juu mawazo yako yanaweza kwenda mbali kutoka kwenye uhalisia wa picha hii, kwa uchunguzi wangu nimegundua asilimia kubwa mlidhani kwamba hizi ni sehemu nyeti za maumbile ya mwanamke.

Sina maana tofauti ila naamini wengi ambao hawakuwa na mtazamo huo kwa mara ya kwanza hakika wanaweza kuwa hawako sawa kwa namna fulani.

Hebu fanya kunisaidia kupata majibu, japo kwa kuniambia ni kitu gani ambacho kilikuja kwenye mawazo yako mara ya kwanza ulipoiona picha hii....

No comments:

Post a Comment