Size 8 Na Jamaa |
Hebu fanya kusoma habari hii chini....
Mwanamuziki mmoja wa nyimbo za injili nchini Kenya aitwae Size 8, ambaye hivi karibuni inasemekena aliokoka, usiku wa jana alinaswa na kamera akiwa anacheza na mwanaume huyu ambaye hakufahamika jina kwenye moja kati ya kumbi za starehe.
Alipoulizwa juu ya hili, mwanamuziki huyo alisema alichokuwa anakifanya ni kazi ya Mungu kwa kuongea na wanaume wenye matamanio.
Vyanzo vingine (Ghafla na Kenya Post) vilieza kwamba baadae muimbaji huyo alikuja kufanya ngono isiyo salama na jamaa huyo kwenye maeneo ya wazi, ila Size 8 alikanusha habari hiyo na kusema kwamba alikuwa amelewa kiasi.
Je huu tuuiteje, kwamba ndio uokovu wa kisasa ama..?
No comments:
Post a Comment