Ujio Mpya wa Peter Msechu - Fire [Coming Soon]

Baada ya kutoka na singo yake ya mwisho iliyoitwa Kibudu ambayo alimshirikisha Ally Nipishe, sasa Peter Msechu yupo tayari na anarudi kivingine.

Kaa tayari kuisikia ngoma yake mpya itakayojulikana kama Fire, "kila kitu kipo sawa tunachongoja ni siku ifike na kama mambo yatakwenda tulivyopanga basi ngoma hii itatoka wiki ijayo," alisema Msechu.

No comments:

Post a Comment