Rihanna Akiwa na Blue Kwenye Pati ya Ufukweni Ndani ya Barbados [PICHA]
Mpe zake sifa Rihanna, hakika yeye ni mtalamu wa kuunganisha muonekano wake na nguo anazozivaa kuwa za kivyake vyake, japo wengine wanaweza kupinga na kuwa tofauti kimtazamo ila kiukweli anavutia.Kitu kingine cha ziada ni kwamba inawezekana kuwa yeye ndiye msanii maarufu ambaye bado ana tabia ya kuendelea kufurahi na marafiki na familia yake ya kitambo, kwani mara zote amekuwa akishiriki kwenye siku zote muhimu za nyumbani kwao Barbados.
Rihanna, huwa hasahau utu na mwanzo wa maisha yake ya awali..
Mcheki kwenye picha hapo chini akiwa na washkaji wa kitaa...
No comments:
Post a Comment