Nicky Minaj Ana Ujauzito wa Lil Wayne? Soma Jinsi Mashabiki Wao Wanavyosema

Ni rasmi: Sasa tumepata tetesi za fungua mwaka.

Kwa mujibu wa ThyBlackMan(dot)com, Nicki Minaj anaweza kuwa ni mjamzito na baba anaweza kuwa… Lil Wayne!

Kuna ushahidi mdogo kutetea hoja hii: hakuna vyanzo kwenye kumbukumbu, hakuna picha, hakuna nukuu na aina yoyote ya ushahidi.
 

Mtandao huu kirahisi tu umesema inaweza kuwa kweli, ila kuna tetesi za chini chini zinachemka kwa kasi kwenye mitandao juu ya uwezekano huu.

Kwa nini taarifa hiii naweza kuwa ya ukweli? Ikumbukwe… Lil Wayne mpaka sasa ana watoto wanne wa mama tofauti. Na Minaj aliwataja kwenye Tuzo za Muziki za Billboard wakati alipokuwa ana rap.

Pia wawili hawa walionekana wakiwa kwenye mahaba ya hali ya juu ndani ya video ya wimbo wa Minaj uitwao “High School”.

Je inawezekana kuwa walifanya tendo hilo hivi karibuni? Tena bila ya kutumia condom au kinga ya uzazi? Labda kweli inawezekana walifanya.
Inawezekana hizi tetesi zikawa za kweli, ila kama itakuwa ni kweli, watu wengi kwenye twitter wanapata hofu kwa mtoto atakayezaliwa:

Hapa kuna baadhi ya comments zilizoandikwa na mashabiki wao....

@BridgetRoush: “If the rumor is true… Nicki Minaj and lil Wayne’s baby will be one incoherent and messed up baby.”

@kthaqs: “Nicki minaj and lil Wayne are having a child……the two worst people in the music industry are reproducing….with each other. oh god lmao.”

@kesteff: “Rumor has it that Nicki Minaj and Lil Wayne are having a baby. And we thought Snooki having a child was a problem…”

@StarrTito: “Just saw that nicki minaj might be pregnant with Lil Wayne’s baby. I swear this better be rumor or I feel bad for the kid.”

@mrs_favor23: “Nicki Minaj is pregnant with Lil Wayne’s baby? Oh Lord help that little one.”
 

Weezy mpaka sasa ana watoto wanne, wote wanaonekana kufanya vizuri kwenye game kwa sasa, hivyo mambo hayatokuwa mabaya, sio?

Mpaka sasa Minaj hajasema neno lolote juu ya tetesi hizi, cha msingi tungoje ili tuone itakavyokuwa.

No comments:

Post a Comment