Mwalimu Asimamishwa Kazi kwa Kusema “Hatutaki Rais Mwengine Mweusi Marekani”

Mwalimu mmoja toka Kusini Magharibi mwa Ohio ambaye alimjibu Mwanafunzi wa Shuleni kwake mara baada ya kusema angependa kuja kuwa Rais na kisha mwalimu huyo kumjibu kuwa Taifa hilo halihitaji kuwa na Rais mwengine mweusi amesimamishwa kazi.

Bodi ya Elimu wiki hii imemsimamisha kazi bila nalipo Mwalimu Gil Voigt. Gazeti la Hamilton-Middletown Journal limetarifu kwamba Rasi wa bodi hiyo Dan Murray aliosema kusimamishwa huko ni hatua ya kwanza katika kuelekea kumtimua kimoja.

No comments:

Post a Comment