James Avery Maarufu Kama Uncle Phil wa Fresh Prince of Bel-Air Afariki Dunia Dec. 31

Nyota wa Fresh Prince of Bel-Air James Avery amefariki akiwa na umri wa miaka 65 kwenye Hospityali moja ndani ya L.A mnamo siku ya Jumanne, Dec. 31.

Muigizaji huyo ambaye alijulikana kwa kuigiza kama Uncle Philip Banks kwenye Fresh Prince of Bel-Air -- amefariki mnamo siku ya Jumanne, Dec. 31.

Kwa mujibu wa TMZ, Avery hivi karibuni alifanyiwa upasuaji kwa ugongwa ambao haukutajwa. Mke wake, Barbara Avery, alikuwepo hospitali wakati mauti yalipomfika.

No comments:

Post a Comment