Muangalie Mama Huyo Kwenye Vazi la Ajabu [KIAMA]

Victoria Hervey, 37 ambaye ni Muingereza mwenye umbile dogo akiwa kwenye gauni ambalo limebuniwa na mwanamitindo toka India aitwaye Gaurav Gupta, hapa ni alipokuwa kwenye pati ya Weinstein Company and Netflix mara baada ya tuzo za Golden Globe ambazo zilifanyika Jumapili usiku.

Cheki picha zaidi hapo chini... 
 


No comments:

Post a Comment