Kanye Ampiga Jamaa Mwenye Miaka 18 Baada ya Kumuita Kim "Mpenda Manigga"

Kwa mujibu wa taarifa, Kanye alimpiga jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 18 mara baada ya kumvunjia heshima yeye pamoja na Kim.

TMZ imetaarifu.


Kanye West alimvamia jamaa huyo mwenye miaka 18 ndani ya chumba cha kungojea wageni cha ofisi ya Chiropractor ... hii ni mara baada ya jamaa kumuita Kanye nigga..

Kim alikuwa yupo kwenye majengo ya hospitali ya Beverly Hills alipokuwa akipiga picha mbalimbali. Tulielezwa kwamba jamaa alikuwa akijaribu kumsaidia Kim ili aweze kuingia ndani, na ndipo alipoanza kupiga kelele akisema, "F**k hawa fa**ot-ass n****rs"" -- huku ajijaribu kumaanisha mapaparazzi.  Kim akamueleza yule kijana kwamba haikuwa sawa kutumia neno nigga. Ndipo alipoamua kumpigia kelele akisema, "F**k wewe malaya. Najaribu kukusaidia . Nyamaza wewe mpenda manigga."


Kisha Kanye akatokea na ndipo alipomvaa na kumshambulia.

No comments:

Post a Comment