KASHFA YA NGONO: Picha za Utupu za Kimada wa Rais wa Ufaransa Zawekwa Kwenye Mtandao (+18 Pekee!)

Julie Gayet
Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, hivi karibuni amekuwa kwenye shutuma mara baada ya kugundulika kuwa alikuwa anajihusisha kimapenzi na muigizaji wa filamu, Julie Gayet.

Tetesi hizo zilisababisha kulazwa kwa mpenzi wake, Valérie Trierweiler na kufatiliwa kwa karibu kwa maisha binafsi ya Gayet.

Muigizaji huyo kwa siku za karibuni amekuwa akihusishwa kwenye picha nyingi za filamu alizowahi kucheza ambazo zinamuonyesha akiwa mtupu huku zikisambaa kwenye mitandao mbalimbali.

Cheki picha hizo hapo chini....


No comments:

Post a Comment