FIFA Yazindua Aina Mpira Utakaotumika Kwenye Kombe la Dunia 2014 Uitwao ‘Brazuca’ [PICHA]


Mpira rasmi utakaotumika kwa ajili ya michuano ya kombe la Dunia nchini Brazil hapo mwakani umetangazwa rasmi.


Mpira huo utaitwa ‘Brazuca’ baada ya kufanyika kwa droo la mashabiki nchini Brazil ambalo lilihusisha kura karibu na milioni.

No comments:

Post a Comment