Heri ya Mwaka Mpya 2014 na Ujumbe Toka Kwangu

Heri ya Mwaka Mpya 2014 Kwenu Wote... Na Tuzidi Kuwa Wote kwa Mwaka Huu Kama Ambavyo Tumekuwa Wote kwa Siku Zote.

Naamini Huu ni Mwaka Wetu Maana Unagawanyika Sio Kama Ule...!

Dan Chibo.
read more "Heri ya Mwaka Mpya 2014 na Ujumbe Toka Kwangu"

Heri ya Mwaka Mpya 2014


read more "Heri ya Mwaka Mpya 2014"

Goldie - Mshiriki wa Shindano la Big Brother na Nyota wa Muziki Toka Nigeria Ambaye Kifo Chake Kilishtua Wengi 2013

Moja kati ya kifo kilichotingisha bara la Africa ni cha mwanamuziki nyota toka nchini Nigeria  aitwaye Goldie, kifo chake kilitokea mnamo February 14, nchini Nigeria kimeelezwa kuwa ndiyo kifo kilichoshtua watu wengi sana kwa mwaka 2013.

Hakika haikuwa Nigeria peke yake hata na kwa baadhi ya nchi za Afrika Tanzania ikiwa ni mojawapo, Goldie aliwahi kushirikiana na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Ambwene Yesaya maarufu kama AY kwenye wimbo wake uitwao Skibobo.

Pia alikuwa ni mmoja kati ya washiriki wa shindano maarufu la The Big Brother Africa, ambalo lililomfanya afahamike na jamii kubwa ya watu wa Bara la Afrika na Duniani kwa ujumla.

Alifariki kwenye Hospitali ya Reddington iliyopo Kisiwa cha Victoria, Lagos. Kifo kilimkuta katika kipindi alichokuwa amerudi Nigeria toka California, ambapo alikwenda kushuhudia Tuzo za Grammy akiwa na Kenny Ogungbe, ambaye alikuwa ni bosi wa lebo yake iitwayo Kennis Music. 

Ilitaarifiwa kwamba msichana huyo alikuwa anajisikia maumivu makali ya kichwa kabla ya kukimbizwa hospitali, na alifariki mara tu baada ya kufika hospitali.
read more "Goldie - Mshiriki wa Shindano la Big Brother na Nyota wa Muziki Toka Nigeria Ambaye Kifo Chake Kilishtua Wengi 2013"

Mungu Akubariki Uingize Mkwanja Mwingi Ndani ya 2014


Namuomba Mwenyezi Mungu Akubariki na upate Hela nyingi ndani ya Mwaka 2014 zaidi ya alizombariki na kumpa Mohammed Ali kama inavyoonekana kwenye picha hii.
Kama ungependa kubarikiwa na hili na useme 'AMEN'
read more "Mungu Akubariki Uingize Mkwanja Mwingi Ndani ya 2014"

Top Ten ya Uhamisho wa Wachezaji wa Soka kwa Mwaka 2013

Mwaka 2013 ndio unaishia, hivyo nami nimeamua kukupa listi ya uhamisho wa wachezaji 10 wa mpira wa miguu kwa mwaka huu, kutoka English Premier League, La Liga mpaka Bundeliga na French League.

Huu ni usajili ulioweka gumzo zaidi kwa mwaka huu.
(1) Gareth Bale
(Tottenham Hotspur kwenda Real Madrid)
£85million/£100million

(2) Edinson Cavani
(Napoli kwenda Paris Saint-Germain)
£55million / €64.5 million

(3) Radamel Falcao
(Atletico Madrid kwenda AS Monaco)
£52m/ €60m

(4) Neymar
(Santos kwenda Barcelona)
£48.6 million / €57 million
 

(5) Mesut Ozil
(Real Madrid kwenda Arsenal)
£42.4 million / €50 million

(6) James Rodriguez
(FC Porto kwenda AS Monaco)
£38.5 million / €45 million


(7) Gonzalo Higuain
(Real Madrid kwenda Napoli)
£34.5 million / €39 million


(8) Fernandinho
(Shakhtar Donetsk kwenda Manchester City)
£34 million / €40 million
 

9) Mario Gotze
(Borussia Dortmund kwenda Bayern Munich)
£31.5 million / €37 million


(10) Willian
(Anzhi Makhachkala kwenda Chelsea)
£30 million / €35.4 million
read more "Top Ten ya Uhamisho wa Wachezaji wa Soka kwa Mwaka 2013"

Utajisikiaje Kama Huyu Akiwa ni Dada, Mtoto, Rafiki au Mama Yako....? Mcheki Alivyovaa Akiwa Viwanjani [PICHA]

Upumbavu mtupu, huu ni ukichaa kabisa.......
read more "Utajisikiaje Kama Huyu Akiwa ni Dada, Mtoto, Rafiki au Mama Yako....? Mcheki Alivyovaa Akiwa Viwanjani [PICHA]"

MAAJABU: Kutana na Msichana Atokaye Machozi na Jasho la Damu [PICHA]

Miaka minne iliyopita msichana huyu mwenye umri wa miaka 19, Delfina Cedeno, alianza kupata tatizo hili la ajabu, lililokuwa likimfanya alie na kutoka jasho la damu. Kwa kuongeza zaidi, wakati mwengine damu zimekuwa zikitoka hata kwenye kucha na kitovu.




Hali hii ilipomuanza, alianza kwa kulia machozi mekundu, kutokwa na damu puani na kunyunyukwa nywele kichwani.

Hali ilipokuwa mbaya, alikuwa akienda hedhi kwa siku 15 mpaka ikafika kipindi alihitaji kuongezwa damu kutokana na hali hiyo iliyokuwa ngumu. Licha ya vipmo vingi alivyofanya, madaktari wa mji wake wa Veron, kwenye Jamhuri ya Dominica, walishindwa  kumsaidia.

Cedeno alisema: 'Hali hii ilipoanza kwangu sikuwa najua nini cha kufikiri - nilishtushwa na kuogopa.

Anasema alijisikia vibaya kutokana na hali aliyokuwa nayo mpaka ikambidi aondoke nyumbani kwao alipokuwa akiishi na mama yake aitwaye Mariana, 36.

Aliacha shule huku marafiki zake wengi wakimtenga kutokana na hali hiyo wakihofu kupata maambukizo au usumbufu kutokana na hali yake.

'Nilitengwa, ila Mungu mkubwa. Kwa sasa najisikia poa maana baada ya muda mrefu nimeanza kujisikia vizuri.'

Miezi michache baadae alifanikiwa kupata boyfriend, Recaris Avila, ambaye alimtembelea hospitali mara baada ya kusikia stori yake.



Sasa, miaka minne baada yote kuanza, madaktari wa wamefanikiwa kutatua tatizo lake.


read more "MAAJABU: Kutana na Msichana Atokaye Machozi na Jasho la Damu [PICHA]"

Nyimbo 20 Bora za TBC fm Mwaka 2013

NYIMBO 20 BORA ZA TBC FM 2013

Nafasi
Jina La Wimbo
Mwanamuziki
1
My Number One [Ngololo]
Diamond
2
Joto Hasira
Lady JD Feat. Prof. Jay
3
Personally
P Square
4
Tupogo
Ommy Dimpoz Feat. J Martin
5
Roho Yangu
Richie Mavoko
6
Muziki Gani
Ney Wamitego
7
Jambo Jambo
Stive RnB
8
Nani Kamwaga Pombe
Madee Feat. Raymond
9
Majanga
Snura
10
I Love You
Kassim Mganga
11
Bila Kukunja Goti
Mwana FA & AY Feat. J Martin
12
Maisha Ni Watu
Vumbe
13
Dear Gambe
Young Killah
14
Nakomaa Na Jiji
Shilole
15
Ukimuona
Diamond
16
Yahaya
Lady JD
17
Kidela
Abdul Kiba Feat. Ally Kiba
18
Pesa
Blue Feat. Becka Title & Akili
19
So Crazy
Maua Samma Feat. Mwana FA
20
Kinyulinyuli
Samir
read more "Nyimbo 20 Bora za TBC fm Mwaka 2013"

Nyimbo Ishirini Bora kwa Mwaka 2013 [CHATI]

Naomba Unitajie Nyimbo TANO Ambazo kwa Binasfi Yako Unaamini Zilifanya Poa Sana kwa Mwaka 2013, Nyimbo Ambazo Unaona Zinastahili Kuwemo Kwenye Chati ya Nyimbo 20 za Mwaka 2013.

Kisha Tukutane Siku ya Jumapili ya Tarehe 29-12-2013 Kuanzia Saa 8 Mpk 10 Jioni Ndani ya TBC FM, Ili kwa Pamoja Tuzihesabu Nyimbo 20 Bora za Mwaka 2013 Tulizosaidiana Kuziandaa.

Chati ya mwaka 2012....


TBC FM’s TOP 20 - 2012 


Wki Hii
Ndani Ya Chati
Wiki Chati
Wimbo
Juu
1
IN April 29
 #1 June 17
OUT Sept. 30
21
Nichum
Bob. Jr
1xWk6
2
IN Eary FEB
 #1 April 29
OUT Augst. 12
25
Single Boy
Alikiba Feat. Lady JD
1xWk5
3
IN April 15
 #1 May 20
OUT Sept. 9
22
Chop My Money
 P Squar Feat. Akon & May D
1xWk4
4
In Nov.4
 #1 Nov. 25.
Out BADO
7
Dear God
Kala Jeremiah
1xWk3
5
IN Eary Jan.
 #1 Eary Feb.
OUT June 24
22
Mawazo
 Diamond
1xWk4
6
IN Nov.4
#1 NIL
OUT Nov. 4
29
Valu Valu
Dr. Jose Chameleon
3
7
IN Oct. 21
 #1 Dec. 23
Still No. 1
10
Diamonds
Rihanna
1xWk1
8
IN July 22
 #1 Nov. 11
Still No. 6
25
Mapito
Mwasiti Feat. Ally Nipishe
1xWk3
9
In Agst. 19
 #1 Oct. 21.
Out Dec.23
18
Leka Dutigite
 Kigoma All Stars
1xWk3
10
IN May 20
 #4 July 29
OUT Oct. 14
21
Baadae
 Ommy Dimpoz
4
11
IN Never
 #1 Never
OUT Never
-
Aifora
Linex
-
12
IN June 17
 #1 Sept. 9
OUT Nov. 25
24
Oliver
D’Banj
1xWk2
13
IN May 20
 #8 July 29
OUT Agst. 19
13
Alisema
Stamina Feat. Jux
7
14
IN Eary March
 #2 July 22
OUT Sept. 1
23
Wild Ones
Flo Rida Feat. Sia
2
15
IN April 29
 #1 July 29
OUT Oct. 14
23
Nidanganye
 Shetta Feat. Diamond
1xWk3
16
IN April 29
 #7 June 24
OUT Nov. 11
30
Missing You (Come Over)
Busy Signal
7
17
IN Nov. 18
 #14 Dec. 23
Still On Chart
14
Pete
 Ben Pol
14
18
IN June 24
 #1 Sept. 23
OUT Nov. 25
22
Beautfull Onyinye (Remix)
 P Square Feat. Rick Ross
1xWk1
19
IN June 17
 #1 Augst. 19
OUT Nov. 11
23
I Wanna Know
Vumbe Feat. Linex & Gerry
1xWk4
20
IN June 10
 #1 Oct. 7
OUT Dec. 9
27
Manuva
Joe Makini Feat. Dunga
1xWk1
 

NB: Mwisho wa Ku-Posti ni Saa 5 Asubuhi Siku ya Jumapili na Nasisitiza Utaje Nyimbo TANO tu..
read more "Nyimbo Ishirini Bora kwa Mwaka 2013 [CHATI]"